CHILDREN WITH SPECIAL NEEDS IN MAHENGE RECEIVE WHEELCHAIRS

MOROGORO, Kibaran Resources Limited, an Australian company exploring for graphite near Epanko Village in Ulanga district, has donated 30 wheelchairs to children with special needs in the district. The wheelchairs are specifically designed for children living in rural environments. Speaking at the handover ceremony in Mahenge, Kibaran Resources ┬áCountry Director Grant Pierce said that the … Continue reading

Advertisements

DANGOTE TO INVEST IN COAL MINE IN TANZANIA

The chairman and president of the Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, is set to invest in developing the Mbinga Coal Mine in West Tanzania to power the Mtwara cement plant. According to reports, Dangote Cement is targeting to take advantage of the surge in local demand for cement amidst increased construction activity in the region. … Continue reading

Advertisements

MWISHO WA KUREJESHA FOMU KWA SHINDANO WA MASHUJAA WA KESHO UMEWADIA

Vijana waliojitokeza kuchukua fomu za shindano la mashujaa wa kesho wahimizwa kurejesha fomu zao mapema kabla ya kufungwa kwa zoezi zima leo, siku ya ijumaa tarehe 10 majira ya saa nane mchana. Bwana Erick Mchome, ambaye ni Afisa Mawasiliano wa kampuni ya Statoil Tanzania amesema muda unaelekea ukingoni na muda umeshafika kwa vijana ambao bado … Continue reading

Advertisements

VIJANA WA MTWARA WAJITOKEZA KWA WINGI SHINDANO LA MASHUJAA WA KESHO

Zaidi ya vijana 150 waliojitokeza kuwania kitita cha dola kati ya 5000 na 1000 katika shindano la Mashujaa wa Kesho mkoani Mtwara wamerejesha fomu zao za ushiriki. Shindano hili lilizinduliwa mwezi wa Septemba mwaka huu kwenye Chuo cha Stella Maris Mtwara, kwa lengo lakuwapatia vijana wa Mtwara kati ya miaka 18 na 25 fursa la … Continue reading

Advertisements